Raia Mwema na Mwanahalisi zinatutosha. RAI ilishakuwa nuksi, labda kama nikulinunua kisha tulizike.
RAI LA NINI??TUMNA MWANANCHI LA KILA SIKU,TANZANIA DAIMA,RAIA MWEMA NA MWANAHALISI wewe BADO UNASOMAGA RAI????
kuwa mwanaharakati haina maana ya kuwa kutosoma magazeti yenye mtazamo tofauti...cha msingi ni kuwa ukiwa na nafasi basi soma magazeti na vitabu kadri uwezavyo na ikibidi kuna gazeti la kuzimu la UHURU nalo soma.............................
lakini mpango wa kulinunua RAI bado hupo pale pale .....wajumbe walio tayari tuwasiliane