Mimi kwanza ningependa unithibitishie kuwa waliomba waahirishiwe lakini TFF ikakataa. Niliona clip inamuonyesha kiongozi wa Mtibwa akielezea hali ya kambi yake ilivyokumbwa na mafua, lakini sikumsikia akisema kwamba wameomba waahirishiwe. Kama kuna kielelezo kingine tusaidie wengine huenda kimetupitaMtibwa Leo kadroo na polisi hii timu ilikua na wachezaji Kama 15 Wana mafua wameomba mechi ipelekwe mbele tff wamekataa
Ingekua Simba na Yanga wangekubali
Acheni uswahili, timu isipoomba kuahirishiwa mechi, maana yake ipo tayari kucheza hivyo hivyo. Mtibwa wameelezea kuwa wamekumbwa na homa, lakini hawakuomba mechi iahirishwe. Yanga walielezea kuwa wachezaji wao kadhaa wamekumbwa na homa hiyo, lakini hawakuomba mechi iahirishwe. Sasa kwa nini muilamu TFF wakati taarifa ya kuomba kuahishiwa mechi haikutolewa? Huu ni uswahili na ujingaLkn kwa makolo wanakubali. Yaan tff kwa makolo ni wanyonge sana.
TFF wanajua kuhusu hichi unachoeleza hapa?Acheni uswahili, timu isipoomba kuahirishiwa mechi, maana yake ipo tayari kucheza hivyo hivyo. Mtibwa wameelezea kuwa wamekumbwa na homa, lakini hawakuomba mechi iahirishwe. Yanga walielezea kuwa wachezaji wao kadhaa wamekumbwa na homa hiyo, lakini hawakuomba mechi iahirishwe. Sasa kwa nini muilamu TFF wakati taarifa ya kuomba kuahishiwa mechi haikutolewa? Huu ni uswahili na ujinga
Watajuaje kama hawajaandikiwa barua na Mtibwa? Mimi ndio nilitakiwa kukuuliza hilo swaliTFF wanajua kuhusu hichi unachoeleza hapa?
Simba waliandika barua?Watajuaje kama hawajaandikiwa barua na Mtibwa? Mimi ndio nilitakiwa kukuuliza hilo swali
Simba waliandika barua?
Onyesha hapa hiyo barua Ya Simba waliyowaandikia TFF kuhusu wao kua na mafuaKumbe ulikuwa unachangia mada kwa kulalamika wakati kumbe hujui hata taratibu zinazotakiwa na zilizochukuliwa? Hata kama mliishia madarasa ya chini, hizi taratibu ndogo ndogo za kiofisi ni muhimu muwe mnazifahamu
View attachment 2052702
Haujasoma hapo 'taarifa ya kitabibu? Soma hiyo kanuni walau basi "sababu ya msingi...". Acha kuexpose your illiteracyOnyesha hapa hiyo barua Ya Simba waliyowaandikia TFF kuhusu wao kua na mafua
Taarifa za kitabibu hao TFF walizipata wapi?Haujasoma hapo 'taarifa ya kitabibu?
Sentensi yako ya pili imejibiwa na swali lako katika sentensi ya kwanzaTaarifa za kitabibu hao TFF walizipata wapi?
Yaani mkuu mm nataka uweke hapa hiyo barua Simba walitowatumia TFF kuomba kuahirisha mechi
Acha siasa kama Id yakoTaarifa za kitabibu hao TFF walizipata wapi?
Yaani mkuu mm nataka uweke hapa hiyo barua Simba walitowatumia TFF kuomba kuahirisha mechi
Hivi Simba ndiyo bodi ya ligi??Sentensi yako ya pili imejibiwa na swali lako katika sentensi ya kwanza
Yani hata hujui unachokiandika ngoja nikuache tuHaujasoma hapo 'taarifa ya kitabibu? Soma hiyo kanuni walau basi "sababu ya msingi...". Acha kuexpose your illiteracy
Sio uniache, toa shukrani kwa kuchota maarifa ya namna ya kuendesha mambo kiofisi. Serikali haifanyi kazi na waraka wa sauti za vyombo visivyo vyake, inafanya kazi na waraka wa maandishiYani hata hujui unachokiandika ngoja nikuache tu
Kasome Uzi alafu urudi kwenye comments ulizoziandikaSio uniache, toa shukrani kwa kuchota maarifa ya namna ya kuendesha mambo kiofisi. Serikali haifanyi kazi na waraka wa sauti za vyombo visivyo vyake, inafanya kazi na waraka wa maandishi
Rejea hapo...Ni wapi Simba waliomba mechi ihairishwe?? Au bodi ya ligi walijiongeza wenyewe baada ya kusikia tetesi za taarifa hiyo?Acheni uswahili, timu isipoomba kuahirishiwa mechi, maana yake ipo tayari kucheza hivyo hivyo. Mtibwa wameelezea kuwa wamekumbwa na homa, lakini hawakuomba mechi iahirishwe. Yanga walielezea kuwa wachezaji wao kadhaa wamekumbwa na homa hiyo, lakini hawakuomba mechi iahirishwe. Sasa kwa nini muilamu TFF wakati taarifa ya kuomba kuahishiwa mechi haikutolewa? Huu ni uswahili na ujinga
Post ya uzi imesema Mtibwa imeomba mechi iahirishwe lakini TFF imekataa. Wewe unayesapoti ujinga huo onyesha barua walau mojawapo, either inayotoka Mtibwa kwenda TFF kuomba kuahirishwa au inayotoka TFF kwenda Mtibwa ikikataa kuahirishwaKasome Uzi alafu urudi kwenye comments ulizoziandika