Serikali na vyombo au taasisi zake hata ikipata tetesi na kutaka kuzifanyia kazi, lazima izibadili kuwa katika maandishi. Usiwe mbishiRejea hapo...Ni wapi Simba waliomba mechi ihairishwe?? Au bodi ya ligi walijiongeza wenyewe baada ya kusikia tetesi za taarifa hiyo?
Kwahiyo TFF hawakupata tetesi za wachezaji wa mtibwa kuumwa?Serikali na vyombo au taasisi zake hata ikipata tetesi lazima izibadili kuwa katika maandishi. Usiwe mbishi
Wewe onyesha iliyotoka Simba kwenda TFF hapa jamvini tatizo liko wapi?Post ya uzi imesema Mtibwa imeomba mechi iahirishwe lakini TFF imekataa. Wewe unayesapoti ujinga huo onyesha barua walau mojawapo, either inayotoka Mtibwa kwenda TFF kuomba kuahirishwa au inayotoka TFF kwenda Mtibwa ikikataa kuahirishwa
Kama ulifeli wala usijisumbue kurudia mtihaniWewe onyesha iliyotoka Simba kwenda TFF hapa jamvini tatizo liko wapi?
Ipo siku utalalamika kwa nini TFF hawakuahirisha mechi ya Prisons vs YangaWewe onyesha iliyotoka Simba kwenda TFF hapa jamvini tatizo liko wapi?
Sahihisha Sasa weka hiyi barua Kama unayoKama ulifeli wala usijisumbue kurudia mtihani
Kama ulifeli,hauna haja ya kurudia mtihani.Maana utafeli tena.Kwahiyo TFF hawakupata tetesi za wachezaji wa mtibwa kuumwa?
Waahirishe mechi Kama ilivyokua kwa Simba?
Taarifa za maandishi kutoka wapi?Kama ulifeli,hauna haja ya kurudia mtihani.Maana utafeli tena.
Ushaambiwa TFF hawafanyi maamuzi Kwa kusikiliza tetesi,bali wanafanya maamuzi Kwa kupokea tarifa za kimaandishi.[emoji28]
Ukizipata hizo taarifa za maandishi kutoka huko kwa watabibu kwenda TFF weka hapa acheni janja janjaKama ulifeli,hauna haja ya kurudia mtihani.Maana utafeli tena.
Ushaambiwa TFF hawafanyi maamuzi Kwa kusikiliza tetesi,bali wanafanya maamuzi Kwa kupokea tarifa za kimaandishi.[emoji28]
Watazipata wapi ?Ukizipata hizo taarifa za maandishi kutoka huko kwa watabibu kwenda TFF weka hapa acheni janja janja
Soma hapa wewe mzunguAcheni uswahili, timu isipoomba kuahirishiwa mechi, maana yake ipo tayari kucheza hivyo hivyo. Mtibwa wameelezea kuwa wamekumbwa na homa, lakini hawakuomba mechi iahirishwe. Yanga walielezea kuwa wachezaji wao kadhaa wamekumbwa na homa hiyo, lakini hawakuomba mechi iahirishwe. Sasa kwa nini muilamu TFF wakati taarifa ya kuomba kuahishiwa mechi haikutolewa? Huu ni uswahili na ujinga
Hii ndio barua?Soma hapa wewe mzunguView attachment 2052780
Umeambiwa lete barua ya nyau kuomba kuahirisha mechi unakwepa kwepa! Litimu lenu linadekezwa sanaHii ndio barua?
Kama huwezi kutafsiri maudhui ya barua ya TFF, haustahili kuwemo kwenye jukwaa hili la Great ThinkersUmeambiwa lete barua ya nyau kuomba kuahirisha mechi unakwepa kwepa! Litimu lenu linadekezwa sana
Soma paragraph ya pili, usipo elewa sina jinsi ya kukuelezeaHii ndio barua?