Inna lillahi wa inna ilayhi raji'unBreaking News
Kuna tetesi kuwa basi lililokuwa limebaba wananchi waliopelekwa kwenye mkutano wa kampeni limepinduka usiku huu likiwa linawarudisha majumbani kwao na watu watatu wamefariki dunia huko Zanzibar na sitini na tatu kujeruhiwa. Hii ilikuwa katika Breaking news ya Radio One. Ni masikitiko lakini tumepata uthibitisho kuwa kweli CCM inawabeba watu kutoka sehemu moja kwenda nyingine ili waongeze idadi ya watu katika mikutano yao. Maskini… inawezekana walienda kwa sababu ya mshiko. Mungu aziweke roho za marehemu mahali pema peponi.
Mwandishi aliyeko maeneo hayo, anaweza kutupasha zaidi.
hawakuwemo wengine kwenye malori?to hell na ccmbreaking news
kuna tetesi kuwa basi lililokuwa limebaba wananchi waliopelekwa kwenye mkutano wa kampeni limepinduka usiku huu likiwa linawarudisha majumbani kwao na watu watatu wamefariki dunia huko zanzibar na sitini na tatu kujeruhiwa. hii ilikuwa katika breaking news ya radio one. Ni masikitiko lakini tumepata uthibitisho kuwa kweli ccm inawabeba watu kutoka sehemu moja kwenda nyingine ili waongeze idadi ya watu katika mikutano yao. Maskini inawezekana walienda kwa sababu ya mshiko. Mungu aziweke roho za marehemu mahali pema peponi.
mwandishi aliyeko maeneo hayo, anaweza kutupasha zaidi.
wakome li chama limelaanika wao kutwa wanatangatanga nalo..hakuna kurest in peace apa
hivi wewe huna ubinaadamu!!! Wananchi wenzetu wamepoteza maishayao wewe unafurahia!!!
Ama kweli sasa ndio naanza kuamini kuwa wauwaji wa maalbino wako wa aina nyingi!!!
Wakome li chama limelaanika wao kutwa wanatangatanga nalo..hakuna kurest in peace apa