Watatu wakamatwa na sare za Jeshi la JWTZ na Polisi

Watatu wakamatwa na sare za Jeshi la JWTZ na Polisi

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Jeshi la polisi mkoani Tabora linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kukutwa na sare za jeshi la wananchi na Jeshi la Polisi ambazo walikuwa wakizitumia kuwatapeli wananchi.

Updates zitakujia hapa hapa
 
sawa
 
Sare si zina jina la askari, au hizo ni feki?
 
Hahahaha sura zinachekesha
IMG_20180912_170724.jpg
 
Huyo alovaa za fidifosi ndo kawachomesha wenzie fasta wakastukiwa.

Askali gani anafuga mindevu vile!
 
Huyo aliyevaa sare ya jwtz akichukuliwa na MP atahadithia kitakachompata
 
Ndugu Charles Makongoro amekamatwa mjini Katavi akijifanya kuwa ni afisa wa upelezi. Pia polisi imewakamata watu wengine wawili mmoja akiwa na sare za JWTZ na mwingine akijifanya ni askari wa FFU. Watu hao watafikishwa mahakamani hivi karibuni. Source Star tv habari!
 
Back
Top Bottom