Watawala wa Kenya vs Tanzania

Prince Hope

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2012
Posts
2,155
Reaction score
445
Rais wa kenya ameshiriki kwenye ibada ya kitaifa ya kuliombea amani taifa hilo siku ya leo!

Wakati hayo yanafanyika kwao, hapa tz Waziri mkuu anatoa agizo la kuvunja amani kwa kuruhusu polisi 'KUPIGA TU'

Ifike mahali watawala wetu wajifunze.
 
Rais wa kenya ameshiriki kwenye ibada ya kitaifa ya kuliombea amani taifa hilo siku ya leo!

Wakati hayo yanafanyika kwao, hapa tz Waziri mkuu anatoa agizo la kuvunja amani kwa kuruhusu polisi 'KUPIGA TU'

Ifike mahali
watawala wetu wajifunze.

Tunao? wako wapi? ni akina nani?
 
hakuna taifa lisimamalo bila kumweka maulana kwenye msingi. amini mungu tu
 
Usisahau kusema rais huyo huyo ana kesi ya jinai dhidi ya mauaji ya raia wake.. Usiweke mambo nusu nusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…