Watawala wa Syria wamegundua makaburi mengi ya halaiki. Hivi Tanzania hayapo kweli?

Watawala wa Syria wamegundua makaburi mengi ya halaiki. Hivi Tanzania hayapo kweli?

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
3,799
Reaction score
10,196
Makaburi mengi yamegunduliwa yenye miili ya watu wengi walioteswa na kuzikwa pamoja kipindi Cha utawala wa Assad.

Tanzania pia kipindi Cha nyuma kulikuwa na wimbi la watu kupotea na wengine kukutwa kwenye Viroba, Lakini pia kukawa na matukio ya kihalifu Kibiti.

Serikali ikifanya uchunguzi, kutakosekana makaburi ya aina hii Tanzania?
 
Our beloved brother Ben Sanane. Please show us where his remainings so that we can give him a decent burial.

Halafu mnamuita eti shujaa. Shujaa mafiiyenu?
 
Back
Top Bottom