joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
MBUNGE WA GAMBIA ATAKA KISWAHILI KIWE NI LUGHA YA AFRICA.
Sorry, Kenya ni Communism au Capitalism?Africa could never unite; why?
*Poor leadership.
*Inferiority complex
*Corruption
*Extreme poverty in some nations.
*Religious difference.
*Tribalism
*Racism
*Cival wars in some countries.
*Language barrier.
-Those factors are the main factors hindering unity. Africa inaongozwa na viongozi wabinafsi, kwa mfano Tz iko na ujamaa, Kenya communism. Utatarajia aje Tanzania iungane na Kenya??[emoji848][emoji848][emoji848]
For Africa to unite itabidi all African Nations to copy the Kenyan Constitution where boundaries still exist dividing current countries as States and current presidents are governors. The head of the 'USA' government should be in Addis Ababa where the pan African nation president would be based.
Thats the Largest step that could work in an attempt to unite Africa.
Tunaweza ungana izo points zote zinarekebishika tunaweza anza kutafuta viongozi wa kila ukanda Yaani wakawa wawakilishi na bila kuingilia serikali zilizopo badae nchi zote zikatengeneza utaratibu kama ivyo wa kuanza kutumia lugha moja,badae wataendelea na mambo mengine muhimu hadi inakuja fikia mahali wanaweza tumia sarafu moja piaAfrica could never unite; why?
*Poor leadership.
*Inferiority complex
*Corruption
*Extreme poverty in some nations.
*Religious difference.
*Tribalism
*Racism
*Cival wars in some countries.
*Language barrier.
-Those factors are the main factors hindering unity. Africa inaongozwa na viongozi wabinafsi, kwa mfano Tz iko na ujamaa, Kenya communism. Utatarajia aje Tanzania iungane na Kenya??[emoji848][emoji848][emoji848]
For Africa to unite itabidi all African Nations to copy the Kenyan Constitution where boundaries still exist dividing current countries as States and current presidents are governors. The head of the 'USA' government should be in Addis Ababa where the pan African nation president would be based.
Thats the Largest step that could work in an attempt to unite Africa.
Kwa jinsi waimbaji swahili wanakubalika Kenya, sioni kiswahili kikisahaulika huko. Hata kikisahaulika, poa tu. Nchi kibao inakiinua, zimbabwe, Gambia, Biafra, SA etc.Hata S.A wanataka Swahili iwe lugha ya Africa as proposed by Julius Malema.Sasa hivi hapa Kenya kuna watotohawajui kiswahili. They talk in English through out.Naona kikisahaulika haps keny
Sasa kwanini katiba yenu inataka Kiswahili ndio lugha ya Taifa wakati kuna watoto hata hawakijui?. Nani amewalazimisha kukitaja Kiswahili kuwa lugha ya Taifa wakati mnathamini, kukipenda na kukiheshimu Kiingereza?Hata S.A wanataka Swahili iwe lugha ya Africa as proposed by Julius Malema.Sasa hivi hapa Kenya kuna watotohawajui kiswahili. They talk in English through out.Naona kikisahaulika haps keny
Nani kakwambia kila mkenya huongea sheng'?njoo Mombasa Kenya uskilize lugha safi tofauti na hiyo yenu ya vijiweni. Nimesema kuna watoto na sio wote wanakipuuza kiswahili kisa wazazi wao wanazungumza nao kiingereza pindi waanzapo kuongea. Broken English inaletwa Kenya na wasanii wenu akina harmonizeKwa jinsi waimbaji swahili wanakubalika Kenya, sioni kiswahili kikisahaulika huko. Hata kikisahaulika, poa tu. Nchi kibao inakiinua, zimbabwe, Gambia, Biafra, SA etc.
So discourage it if you want, wala sitoshangaa, Kenya discouraged vita vya ukombozi sadc, sitoshangaa swahili. Infact mmeshaanza kukiharibu wa introduction of your stupid sheng. Mtabaki na sheng na broken english yenu
Hamna mtoto hajui kiswahili ni wazazi wao wanawaintroduce kwa lugha ya kiingereza wakiwa wadogo .Kuna baadhi yao wanakipuuza japo wanakizungumzaSasa kwanini katiba yenu inataka Kiswahili ndio lugha ya Taifa wakati kuna watoto hata hawakijui?. Nani amewalazimisha kukitaja Kiswahili kuwa lugha ya Taifa wakati mnathamini, kukipenda na kukiheshimu Kiingereza?
Tunashupalia kiswahili! Kiswahili hakitasaidia kuleta mageuzi ya viwanda Africa. Sweden huwezi kupata cheti cha kumaliza shule bila kufaulu Kiingereza. NI LAZIMA! Wanajua kuwa kamwe hawawezi kujitenga na kiingereza. Wanafundisha kwa Kiswede lakini kuna shule nyingi sana za English medium tupu, universities........ they combine both languages, siyo kushupalia kiswede kama sisi na tunavyoshupalia kiswahili! sawa tukiendeleze kiswahili, lakin not at the expense of downgrading English!MBUNGE WA GAMBIA ATAKA KISWAHILI KIWE NI LUGHA YA AFRICA.
Umenena. English is a universal languageTunashupalia kiswahili! Kiswahili hakitasaidia kuleta mageuzi ya viwanda Africa. Sweden huwezi kupata cheti cha kumaliza shule bila kufaulu Kiingereza. NI LAZIMA! Wanajua kuwa kamwe hawawezi kujitenga na kiingereza. Wanafundisha kwa Kiswede lakini kuna shule nyingi sana za English medium tupu, universities........ they combine both languages, siyo kushupalia kiswede kama sisi na tunavyoshupalia kiswahili! sawa tukiendeleze kiswahili, lakin not at the expense of downgrading English!
Umenena. English is a universal language
Hamna mtoto hajui kiswahili ni wazazi wao wanawaintroduce kwa lugha ya kiingereza wakiwa wadogo .Kuna baadhi yao wanakipuuza japo wanakizungumza
Vipi Japan, China, France, Germany, and other big economies, zinatofauti gani na tufanyavyo Tanzania?.Tunashupalia kiswahili! Kiswahili hakitasaidia kuleta mageuzi ya viwanda Africa. Sweden huwezi kupata cheti cha kumaliza shule bila kufaulu Kiingereza. NI LAZIMA! Wanajua kuwa kamwe hawawezi kujitenga na kiingereza. Wanafundisha kwa Kiswede lakini kuna shule nyingi sana za English medium tupu, universities........ they combine both languages, siyo kushupalia kiswede kama sisi na tunavyoshupalia kiswahili! sawa tukiendeleze kiswahili, lakin not at the expense of downgrading English!
They never despise English! Kuna tendency ya wadictator wetu kudhani kuwa wakiwa na Kiswahili, wakakiacha kiingereza watafanikiwa katka kutafuta maendeleo. Hicho ndicho ninachopinga! Nchi ulizozitaja wanaheshimi sana kiingereza, nambie ukiacha china , nani anakidharau Kiingereza. hata China wanapeleka millions of their students to western countries. Kama kuna ugomvi na china students, wazuie kwenda US!Vipi Japan, China, France, Germany, and other big economies, zinatofauti gani na tufanyavyo Tanzania?.
Nani aliyekuambia tunapiga vita kiingereza?, tunachokataa ni kuthamini kiingereza zaidi ya Kiswahili. Huwezi kwenda katika nchi yoyote hapa duniani ambayo kiingereza sio lugha yake ya Taifa, ukakuta wanatumia Kiingereza kama lugha ya kufundishia katika shule za sekondari na vyuo vikuu, labda kwenye shule na vyuo maalumu ambavyo vimeruhusiwa kufanya hivyo, huu ni ugonjwa wa nchi zilizotawaliwa.They never despise English! Kuna tendency ya wadictator wetu kudhani kuwa wakiwa na Kiswahili, wakakiacha kiingereza watafanikiwa katka kutafuta maendeleo. Hicho ndicho ninachopinga! Nchi ulizozitaja wanaheshimi sana kiingereza, nambie ukiacha china , nani anakidharau Kiingereza. hata China wanapeleka millions of their students to western countries. Kama kuna ugomvi na china students, wazuie kwenda US!
Tukikuze Kiswahili, lakini siyo kikiua Kiingereza kama madictator wetu wanavyotuaminisha! Watoto wao wako huko wanakotukataza tusiende! wa kwao wawafundishi kiswahili, wanawapeleka ulaya!