SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,265 Jul 2, 2016 #2 Kwa nini kwenye video ametumia hivyo viumbe vya kitoto toto kana kwamba maudhui ya wimbo ni kwa ajili ya watoto?Anyway, wimbo mzuri sana nimeupenda!
Kwa nini kwenye video ametumia hivyo viumbe vya kitoto toto kana kwamba maudhui ya wimbo ni kwa ajili ya watoto?Anyway, wimbo mzuri sana nimeupenda!
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Jul 2, 2016 Thread starter #4 SHIEKA said: Kwa nini kwenye video ametumia hivyo viumbe vya kitoto toto kana kwamba maudhui ya wimbo ni kwa ajili ya watoto?Anyway, wimbo mzuri sana nimeupenda! Click to expand... Tena afadhali uangalie hii midoli kuliko video yake halisi kachemka vibaya sana
SHIEKA said: Kwa nini kwenye video ametumia hivyo viumbe vya kitoto toto kana kwamba maudhui ya wimbo ni kwa ajili ya watoto?Anyway, wimbo mzuri sana nimeupenda! Click to expand... Tena afadhali uangalie hii midoli kuliko video yake halisi kachemka vibaya sana