Watch "Kifesi: Diamond ameni-block/ Sijamwambia Zari/ Mavoko nimesikia" on YouTube

ngoja kwanza!
kuna mahali nimesoma huko juu kuwa ,ili uwe ni mwanamuziki wa kukumbukwa kwenye historia ni mpk uwe MBUNGE?
mmmmh!
kuna vitu ukikuta vimeandikwa mahali unajikuta tu unaona aibu kwa niaba!
KHAAAAA!
 
Hahahaha halafu aliendika hvyo ni mwanaume anaetegemea kuwa na familia na aiongoze vyema...eeeehMungu waokoe wanaume watz
 
Huyu diamond sifa zake hawezi kumfikia hata Ney wa Mitego,au afande Sele,akidrop ajue anaanguka mazima,kama ni jitihada zake akaze kamba,kama ni ujanja ujanja I'm sorry,maana kwa wasanii wa maana kwa sasa na wenye thamani nchi hii hakuna wanaoheshimika kama Prof J na Sugu,Diamond hata akaze haja Kubwa kutafuta hela Prof J na Sugu hawezi kuvunja historia yao,kwanza hawezi kuwa mbunge daima,atakata mauno international,anazikwa na tunamsahau,ila prof J na Sugu ni wabunge wa Tz kihistoria.ili aweke historia awe mbunge au diwani,nani atamchagua?nenda ulaya userebuke mauno,uwe na TV ,hata TBC haiwezi kuvunja rekodi ya Sugu na professor J kimziki na kisisa
Nikutaarifu tu huyo diamond akienda kugombea ubunge kwenye jimbo la profesa jay......profesa jay atakalishwa.

Halafu umepanick sana duuh hebu relax kwanza.
 
Huyu diamond sifa zake hawezi kumfikia hata Ney wa Mitego,au afande Sele,akidrop ajue anaanguka mazima,kama ni jitihada zake akaze kamba,kama ni ujanja ujanja I'm sorry,maana kwa wasanii wa maana kwa sasa na wenye thamani nchi hii hakuna wanaoheshimika kama Prof J na Sugu,Diamond hata akaze haja Kubwa kutafuta hela Prof J na Sugu hawezi kuvunja historia yao,kwanza hawezi kuwa mbunge daima,atakata mauno international,anazikwa na tunamsahau,ila prof J na Sugu ni wabunge wa Tz kihistoria.ili aweke historia awe mbunge au diwani,nani atamchagua?nenda ulaya userebuke mauno,uwe na TV ,hata TBC haiwezi kuvunja rekodi ya Sugu na professor J kimziki na kisisa
Hujui hata sanaa inavoenda ulimwenguni... masikin ya Mungu... hv kuwa bora n mpaka uwe mbunge? Mbona hatumwon Jay Zee akiwa seneta pale states?. Mond ndo keshafanya kazi yake ya kuitangaza bongo fleva kimataifa kazi ambayo hao wabunge walishindwa so n heshma nayo... kacheza ndani ya fani yake na katoboa.... so ni kitu cha kujivunia. Swali dogo tu kwako... hv mpaka sasa ni msanii gani hapa Tanzania anafahamika sana kimataifa? Na ni label gani hapa bongo inahit sana kuliko zote? Jitahid kufanya uchunguzi afu uniletee majibu yaliyoshiba ili nijue km kweli we n mwanaume au n wale dada zetu wa Corner bar unatafuta sponsors....
 
Huyu diamond sifa zake hawezi kumfikia hata Ney wa Mitego,au afande Sele,akidrop ajue anaanguka mazima,kama ni jitihada zake akaze kamba,kama ni ujanja ujanja I'm sorry,maana kwa wasanii wa maana kwa sasa na wenye thamani nchi hii hakuna wanaoheshimika kama Prof J na Sugu,Diamond hata akaze haja Kubwa kutafuta hela Prof J na Sugu hawezi kuvunja historia yao,kwanza hawezi kuwa mbunge daima,atakata mauno international,anazikwa na tunamsahau,ila prof J na Sugu ni wabunge wa Tz kihistoria.ili aweke historia awe mbunge au diwani,nani atamchagua?nenda ulaya userebuke mauno,uwe na TV ,hata TBC haiwezi kuvunja rekodi ya Sugu na professor J kimziki na kisisa
Mtoa mada umemuelewa? kazi kweli kweli
 
Sugu na Pro. J hawawezi kumfikia Juma Nature fullsttop
 
kwa hii chuki yako ungekuwa na mimba ungejifungua
 
We kwanza hustahili kutoa maoni maana hujulikani ni mwanaume au jike!
Mzee baba wewe umetoa maoni ya kumshumbulia mtu direct watu wamekufuata n wewe unaanza kashfa tulia huu ni uwanja huru mkuu
 
ngoja kwanza!
kuna mahali nimesoma huko juu kuwa ,ili uwe ni mwanamuziki wa kukumbukwa kwenye historia ni mpk uwe MBUNGE?
mmmmh!
kuna vitu ukikuta vimeandikwa mahali unajikuta tu unaona aibu kwa niaba!
KHAAAAA!

Si ndio hapo nashangaa. Viol, tuambie Michael Jackson alikuwa mbunge wa wapi?
 
Huyu diamond sifa zake hawezi kumfikia hata Ney wa Mitego,au afande Sele,akidrop ajue anaanguka mazima,kama ni jitihada zake akaze kamba,kama ni ujanja ujanja I'm sorry,maana kwa wasanii wa maana kwa sasa na wenye thamani nchi hii hakuna wanaoheshimika kama Prof J na Sugu,Diamond hata akaze haja Kubwa kutafuta hela Prof J na Sugu hawezi kuvunja historia yao,kwanza hawezi kuwa mbunge daima,atakata mauno international,anazikwa na tunamsahau,ila prof J na Sugu ni wabunge wa Tz kihistoria.ili aweke historia awe mbunge au diwani,nani atamchagua?nenda ulaya userebuke mauno,uwe na TV ,hata TBC haiwezi kuvunja rekodi ya Sugu na professor J kimziki na kisisa
kwa hiyo kuwa mbunge ni heshima na historia et?kumbuka hata kingwendu almanusura awe mbunge,mbwa yoyote aweza kuwa mbunge ila kuwa level ya kuwa maarufu nigeria hadi kushinda tuzo sio kitoto,ona hata jokate na mkuu wa wilaya
 
We acha tu
FB_IMG_1532841489157.jpg
 
Huyu diamond sifa zake hawezi kumfikia hata Ney wa Mitego,au afande Sele,akidrop ajue anaanguka mazima,kama ni jitihada zake akaze kamba,kama ni ujanja ujanja I'm sorry,maana kwa wasanii wa maana kwa sasa na wenye thamani nchi hii hakuna wanaoheshimika kama Prof J na Sugu,Diamond hata akaze haja Kubwa kutafuta hela Prof J na Sugu hawezi kuvunja historia yao,kwanza hawezi kuwa mbunge daima,atakata mauno international,anazikwa na tunamsahau,ila prof J na Sugu ni wabunge wa Tz kihistoria.ili aweke historia awe mbunge au diwani,nani atamchagua?nenda ulaya userebuke mauno,uwe na TV ,hata TBC haiwezi kuvunja rekodi ya Sugu na professor J kimziki na kisisa

Umeandika kama umeshikiwa akili na mtu toa utumbo wako apa
 
Back
Top Bottom