eastmea
Senior Member
- Jul 28, 2018
- 159
- 133
Kwenu wadau hivi hivi hii style ya kujiangusha kutoka south Africa mmeipokeaje?? Nimeangalia hawa wanafunzi [emoji115] nikajiuliza tukiendelea hivihivi basi tutapokea mimba nyingi maana wanaana sio kwa kuacha mapaja njenje hivo
Kunakoelekea tutaanza kupokea vifo vya watu wakijirusha magorofani wakicheza hii style