Watch "New Dar es Salaam City, Tanzania" on YouTube

tuusan @Icheoboy mliomba hii video ndio hi hapa sasa. Dar ni slum kubwa muaache bwembwe
 
Mirembe inakuhusu kijana mdogo walahi
 
tuusan @Icheoboy mliomba hii video ndio hi hapa sasa. Dar ni slum kubwa muaache bwembwe

If you are not in position to distinguish slums FROM unplanned settlements, you better shut up your bowel.
 
Angalia video yenye nimepost kutoka mwanzo hadi mwisho wacha haya maswali ya kijinga.

Ahaaa haaa haaa

Acha povu

There is no slum hapo.

Slums HAZINA properties zinazo wealth US$ 1mio.
 
Hapa nikama nyumba zilikua zinarushwa after kujengwa kwenye inalanda ni sawa
 
Aliechukua hii video Mungu anakuona!
Sijui alikua na madhumuni gani?! Video kachukulia mbali bila kuzoom. Ni unplanned sawa lakini humo kuna vitu vya hatari.
 
Ahaaa haaa haaa

Acha povu

There is no slum hapo.

Slums HAZINA properties zinazo wealth US$ 1mio.
Hii nini hapa[emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Aliechukua hii video Mungu anakuona!
Sijui alikua na madhumuni gani?! Video kachukulia mbali bila kuzoom. Ni unplanned sawa lakini humo kuna vitu vya hatari.
Vile watanzania mnagangana ati hio sio slum[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…