Watch out;big g kwenye soli zinadaka pesa zote za zawadi

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kwa wale mnofanyaga maonyesho ama shuguli za kuwatunza naomba niwaase muwe makini sana na hili..kumezuka swala la kuweka big g kwenye soli zikitambaa kila kona na wakati wakienda kushangilia unawez hisi wako na wewe la hasha wanafwata kwenye hela na kuzikanyaga zile hela yamkini wanaweza kuja a hadi buku MKONONI la ajabu wanafwata kwenye buku kumi kumi zilizo chini tu
kama unajua unafanya shuguli ya kutunza kuwa makni technolojia ya sasa waanyoifwata watu nahisi inapitiliza kikomo....yawezekana ukaona kumi kumi zikia mwaga mwisho wa siku amini usiamini hutoziona hata moja na akuna ata mmoja ambae ameinama kuzichukua kazi kwako

kila kitu wanachakachua hadi zawadi za kutunzwa
 
Pdidy

hapa nimetoka Kapa!

hebu nirudi kwenye TV kuangalia operation ya miner rescue!
 
:A S 13::A S 13::A S 13::typing::typing::confused2::A S angry::doh::A S-confused1::disapointed::A S 114::ranger::doh:
 
yaani kumuelewa huyu jamaa ni kazi nzito.

Ngoja nimtafute matesha anitafsirie.

Kama nimemwelewa anamaanisha kwenye shughuli kuna watu si waaminifu wanakanyaga big G (zinanasa kwenye soli). sasa wanapoenda kutunza zawadi wanakanyaga noti ambazo zitanaswa na hizo big G. Wakirudi kwenye viti, wanabandua hizo noti tayari kufungua akaunti EXIM bank!
 
Kwa wale mnofanyaga maonyesho ama shuguli za kuwatunza naomba niwaase muwe makini sana na hili..kumezuka swala la kuweka big g kwenye soli zikitambaa kila kona na wakati wakienda kushangilia unawez hisi wako na wewe la hasha wanafwata kwenye hela na kuzikanyaga zile hela yamkini wanaweza kuja a hadi buku MKONONI la ajabu wanafwata kwenye buku kumi kumi zilizo chini tu
kama unajua unafanya shuguli ya kutunza kuwa makni technolojia ya sasa waanyoifwata watu nahisi inapitiliza kikomo....yawezekana ukaona kumi kumi zikia mwaga mwisho wa siku amini usiamini hutoziona hata moja na akuna ata mmoja ambae ameinama kuzichukua kazi kwako

kila kitu wanachakachua hadi zawadi za kutunzwa

Asante kwa tahadhari
 
Ngoja nimtafute matesha anitafsirie.

Kama nimemwelewa anamaanisha kwenye shughuli kuna watu si waaminifu wanakanyaga big G (zinanasa kwenye soli). sasa wanapoenda kutunza zawadi wanakanyaga noti ambazo zitanaswa na hizo big G. Wakirudi kwenye viti, wanabandua hizo noti tayari kufungua akaunti EXIM bank!
Mpwa umesomeka!!ila yeye kithembe kilimsumbua na sisi alama za lugha zilitupita pembeni!
 
yaani kumuelewa huyu jamaa ni kazi nzito.

Mwalimu wako alikuwa na kazi basi! mbona maelezo yake yanaeleweka vizuri sana nimesoma kwa sauti mtoto wangu wa darasa la kwanza ameelewa au umesoma hiyo post huku ukikumbukia yale mambo yetu yaleeeee? :tonguez:
 
Queenkami we mzuri sana unaonekana mtamu sana lakini mbona unajitia mlokole?
 
Hivi tatizo ni writting skills au huwezi kujielezea?
kwa wale mnofanyaga maonyesho ama shuguli za kuwatunza naomba niwaase muwe makini sana na hili..kumezuka swala la kuweka big g kwenye soli zikitambaa kila kona na wakati wakienda kushangilia unawez hisi wako na wewe la hasha wanafwata kwenye hela na kuzikanyaga zile hela yamkini wanaweza kuja a hadi buku mkononi la ajabu wanafwata kwenye buku kumi kumi zilizo chini tu
kama unajua unafanya shuguli ya kutunza kuwa makni technolojia ya sasa waanyoifwata watu nahisi inapitiliza kikomo....yawezekana ukaona kumi kumi zikia mwaga mwisho wa siku amini usiamini hutoziona hata moja na akuna ata mmoja ambae ameinama kuzichukua kazi kwako

kila kitu wanachakachua hadi zawadi za kutunzwa
 
hivi humu kuna watu uwa wanatunzwa hela? mie nilijua wanatunzwa waimba taarabu tu na wacheza shoo kwenye harusi
 
yaani kumuelewa huyu jamaa ni kazi nzito.

ULISOMA SHULE ZA ST.. PRIMARY SCHOOL NINI??msikimbilie shule ili mradi zina majina ya st ,hata zenye majina ya dawa za binadamunazo zinalipa like PANADOL SEC SCHOOL,ASPIRIN HIGH SCHOOL,,TETRASYCLIN COLLEGE UNATOKA TU nk...utapata shida...
teeehteeeehhh am kidin aspirin
 
hivi humu kuna watu uwa wanatunzwa hela? Mie nilijua wanatunzwa waimba taarabu tu na wacheza shoo kwenye harusi

unayokimbilia kujibu tpoic za mashoga kwani lazima mtu awe shoga???unatoa mawazo yako unatambaa
 
Back
Top Bottom