baraker88 Senior Member Joined Feb 26, 2014 Posts 124 Reaction score 147 Aug 15, 2018 #1 Rais wangu wa Muda wote alikuwa ni Jasiri Sana "kama ujasiri wa kujifunika shuka moja na nyoka"
THE HITCHER Member Joined Dec 27, 2017 Posts 69 Reaction score 269 Aug 15, 2018 #2 Hakika we ni baba wa taifa
D DrLove69 JF-Expert Member Joined Jan 20, 2018 Posts 3,112 Reaction score 3,491 Aug 18, 2018 #3 Halafu kuna Wanasiasa wanasimama mbele ya kadamnasi na kumkejeli huyu Mzee. Pumzika kwa Amani Tata Kambarage.
Halafu kuna Wanasiasa wanasimama mbele ya kadamnasi na kumkejeli huyu Mzee. Pumzika kwa Amani Tata Kambarage.