Watch Simba vs Es Setif live

Watch Simba vs Es Setif live

huyo mchezaji wao amekufa nini? cause naona kaseja kampa teke moja mpaka mwanangu amecheka.
 
performance ya Simba safi sana.Mpira umeisha, simba 1 setif 3, lakini naona simba ndo wanashangilia.
 
Back
Top Bottom