joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Wazungu wamvulia kofia Magufuli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe huwa mnawaramba wazungu matako.
Hypocritical nation
Wazungu wamvulia kofia Magufuli.
[emoji23][emoji23][emoji23] Kuna ile nyingine, tuzo ya ukombozi Afrika ambayo Jiwe 'alishinda'. Ila meli ya waliokuwa wanasafiri nayo hadi Tz kuja kumkabidhi ilizamia baharini kama ndege ya Malaysia.Kawadanganye wajinga wenzio. Hakuna mtu mwenye akili timamu atakaetengeneza documentary inayolenga audience ya watumia lugha ya Kiingereza halafu aweke hotuba ya Kiswahili muda mrefu hivyo na asitoe tafsiri ya kinachosemwa.
Msichojua kuwa katika kumpamba huyo mtu wenu ndio mnamuaibisha zaidi.
Hahahahahahaha, endelea kuumia ila dunia inajua na Tanzania inasonga mbele.Kawadanganye wajinga wenzio. Hakuna mtu mwenye akili timamu atakaetengeneza documentary inayolenga audience ya watumia lugha ya Kiingereza halafu aweke hotuba ya Kiswahili muda mrefu hivyo na asitoe tafsiri ya kinachosemwa.
Msichojua kuwa katika kumpamba huyo mtu wenu ndio mnamuaibisha zaidi.
Hahahahahahaha, endelea kuumia ila dunia inajua na Tanzania inasonga mbele.
Eti wazungu...heheee
Wazungu wamvulia kofia Magufuli.
Ikielekea wapi..Hahahahahahaha, endelea kuumia ila dunia inajua na Tanzania inasonga mbele.
Africa: Magufuli Scoops Africa Prestigious AwardDunia ipi inayoijua Tanzania? Endeleeni kujitia ujinga na kuuamini usanii wenu wenyewe. Si nyie ndio mlitunga eti Trump kamsifia huyo mtu wenu? Halafu vipi; ile tuzo mliyojitungia ya yeye kuwa kiongozi bora katika kuendesha uchumi mlishampa?
Dar wins global award for its Bus Rapid Transit system | Magazeti ya leo| Tanzania News |Tanzania TodayIkielekea wapi..
Africa: Magufuli Scoops Africa Prestigious Award
Endelea kuumia tu, sisi mbele kwa mbele[emoji122] [emoji122] [emoji122]