Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dunyua,Kill, cramp and paralyze all weak at conception, Wipe them out of creation, Shehe mawazo yako dhaifu sana, wakati wa kuzungumzia mshikamano na Umoja we Sheikh unaleta udini hapo ndio huwa sikuelewi kabisa!!! Kuna muhusika mmoja kwenye mchezo wa Tendehogo yeye alikuwa ndio mlinzi wa msafara wa Watumwa kwenda pwani kazi kapewa na mwenye watumwa wake Mwarabu. Shehe wangu hii kazi ingekufaa sana naona wote ungehahakisha tumefika Bagamoyo na labda tungekuwa tushajua hata kuongea kiarabu. Utumwa wa kimwili tulishautokomeza nafikiri karne zimepita sasa, lakini utumwa wa akili huo bado sana.
Dunyua,Dunyua,
Ungesikia mhadhara wangu MUM labda ungekuwa katika hali ya
kuweza kutoa fikra yako.
Bahati mbaya umetoa fikra yako katika maswali niliyoulizwa na
wale waandishi waliosikiliza mhadhara wangu.
Umegusia suala la utumwa.
''Tendehogo,'' kitabu hiki nimekisoma miaka mingi sana iliyopita.
Nakuongezea kitabu kingine namna ya hicho: ''Uhuru wa Watumwa,''
cha James Mbotela.
Nimekisoma 1960 nikiwa darasa la tatu.
Mwisho ili uwe mweruvu katika histria ya utumwa nakupa rejea hii:
Historical Context: Facts about the Slave Trade and Slavery | Gilder Lehrman Institute of American History
Tuanze na haya kwanza.


