Watching Andrew Young CNN akizungumzia Tanzania

Watching Andrew Young CNN akizungumzia Tanzania

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
28,186
Reaction score
15,549
I am watching CNN right now wana ile kipindi ya Inside Africa
Andrew Young is talking about Makonde carvings, uniqueness of Tanzanians, Tanzanite, Reginald Mengi na utalii, amempamba sana Mengi na ameipamba Tanzania na ama film kuhusu Tanzania.... yaani he has done what TTB has failed to do

His best statement - ni pale aliposema huwezi kumsaidia very poor person ukiwa super rich kwa "aid" bali ni kwa trade na kwa tanzania ni tourism, wakati naangalia hii mwenguo, mkurugenzi wa marketing na meneja wake wako US kwenye road show wanagawa fliers na I feel melancholic gademu!!! he has his issue and for sure his vested interest are much too much mazee= but at least i will take this one positively.

But wait, I cant just let this pass, Mwenguo mkurugenzi mkuu unaenda kugawa brochure wakati hiyo ni kazi ya enrty level staffs na wale wa information and marketing!!! unaacha kukaa kwenye strategic environment unafukuzia per diems? Kweli baba hii ndio directorship ya TTB inavyotakiwa iwe?
 
Kuna Mada moja iliwahi kutolewa kuhusu hivi vizee... Jinsi umri unavyosogea ndio vinazidi kupungua uwezo,kweli ni aibu kwa Director kama Mwenguo kwenda kugawa Brochure mitaani...
 
Yaani kuna thread moja GT ameiweka vizuri sana kuhusu Mwenguo, kwakweli kikwete needs to do something na utalii wetu, hata huko ngorongoro (NCAA) hali si shwari

Nadhani hapa ndipo tunapohitaji foreigners kuongoza hizi institutions aisee, mkurugenzi mkuu, director wa marketing na meneja wao wanasafiri wiki mbili kwenda road show, wakati makampuni binafsi wanatuma junior staffs!!!

It is sickening aisee

Anyway andrew young kwa leo amenifurahisha
 
Back
Top Bottom