Watching Porn ndio sababu ya upunguf wa nguv za kiume

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,087
Reaction score
16,036
Wakuu,ni utafit wa wik1,.mstake jua methodology

Okay,ni hiv,..kwenye ubongo wa binadam kuna sehem ambayo inatafsiri mambo yoote yahusuyo kutamani then inaamuru vichocheo kwenye mishipa na misuli then kupelekea mashine kusimama halaf mtu anafanya tendo,..ila ni lazima threashold fulan ifikiwe ndo mtu anaweza timiza hilo zoez,isipofikiwa hii threashold bas zoez hua ni ngum sana,na kupelekea wengne kunywa madawa ili hayo madawa yaende kuilazimisha hyo threashold kupanda ili mashine iwe imara.

Unapoangalia porn,wanawake wa kila aina,hyo sehem ya ubongo unaizoesha kias kwamba,hakuna jipya litakaloweza ifanya hyo sehem ya ubongo kushangaa,maana ubongo unaposhangaa ndio unatengeneza vichocheo ambayo vikifika kias fulan ambayo ndo threashold bas husisimua mwil na mtu kutaman na mwisho mashine kusimama na kufanya kaz,..

Kumbuka pind umeona porn kwa mara ya kwanza ilikuaje?
Na sasa ukiangalia porn inakuaje

Now unaona kawaida sabab umeshauzoesha ubongo so hyo threashold haifikiwi,na ndomana unashindwa perfom vzur sabab husisimk tena ipasavyo

Hii pia inaendana na wanaume ambao wanawanawake weeng,same mechanism.

So ni kwamba,.ukitaka usipatwe tatzo hili,acha kuwatch porn
 
ni kweli wengi hatuangalii lakini hizi za barabarani tunazoangalia kwa kulazimishwa ndo imekuwa tabu kabisa!
wakinadada punguzeni hivi vivazi vyenu utapoteza nguvu kazi ya vijana.
 
ni kweli wengi hatuangalii lakini hizi za barabarani tunazoangalia kwa kulazimishwa ndo imekuwa tabu kabisa!
wakinadada punguzeni hivi vivazi vyenu utapoteza nguvu kazi ya vijana.
Hahahahaaa inamisha macho chini bro..!
 
Hahahahaaa inamisha macho chini bro..!
mhn! hii vita sio yenyewe chezea tulikotoka! hata mlokole utasikia ushindwe..ushindwe... kabisa jicho kodo na hamalizii kwa jina la Yesu kwa kuwa anachotamka kinapisha na moyo wake!
 
We mikato ya madada saivi ni porno tosha ..mm saivi nimeamia kuangalia [emoji527][emoji527][emoji527][emoji527][emoji527][emoji527] sijui iyo nayo mkuu inachangia
 
mhn! hii vita sio yenyewe chezea tulikotoka! hata mlokole utasikia ushindwe..ushindwe... kabisa jicho kodo na hamalizii kwa jina la Yesu kwa kuwa anachotamka kinapisha na moyo wake!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
"Every Man watches porn" We only differ the rate of watching it... " No man ignores porn to his sight "
 
ni kweli wengi hatuangalii lakini hizi za barabarani tunazoangalia kwa kulazimishwa ndo imekuwa tabu kabisa!
wakinadada punguzeni hivi vivazi vyenu utapoteza nguvu kazi ya vijana.
daaaaaaaaah kweliiii hiz za barabaran ndo shidaaaa sasa kwan haziwez kufungiwa maana sjui kama kuna jipy tenah kwene mapenz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…