Wateja Mjifunze kuheshimu wafanyabiashara, Wanajitoa kuliko Mnavyofikiria

Aisee, bora umesema
 
wateja wako complicated sana,lazima uwe mvumilivu vinginevyo baki na bidhaa zako ndani,kumbuka mteja ana uwanja mpana wa kuchagua anunue wapi ila wewe muuzaji unatamani na kuombea mtu yoyote aje anunue,hivyo yeye hana shida,pesa ndio kila kitu katika ulimwengu wa biashara
 
Uzuri ni kwamba kila mtu ni mteja kwa nyakati tofauti. Hata wewe inakuhusu.
 
Duh! Mkuu maneno haya wateja wote wakiwa hivo usivotaka si utafunga biashara?.
 
Mi naona mradi mteja hanitukani,na ananunua bidhaa yangu kwa dk zile nitavumilia kero yake afu nakunja mkwanja, naendelea na mwingine mkorofi mpk bidhaa inaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…