luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,375
- 6,986
Nakushauri jiongeze watafute wale emergency team wa eneo lako ujiongeze kwao.. Ukikaza utamaliza mwaka gizaniKwanza Mhe.Rais Pole na.majukumu, kwa masikitiko makubwa naomba niwasilishe kilio changu kwa niaba ya Wahanga wenzangu tuliokutwa na janga hili..
Asilimia kubwa ya wateja tulio lipia kuunganishiwa umeme kwa ile bei ya awali 27 K wengi hatujapata huduma hii ya umeme, tukifuatlia ktk ofisi za tanesco , danadana zinakuwa nyingi mara nguzo hamna, mara tuna wawekea wateja walio omba mwezi wa 8 yaan sababu ni nyingi na hamna mashiko
Pia tukumbuke Serikali yako.ilitoa tamko kuielekeza tanesco mpaka kufikia March 30 ,2022 wale wateja wote waliolipia 27 K wawe wameunganishiwa umeme lakini utekwlezaji wa maelekezo haya ni HOLAAA
Binafsi niliomba na kulipia huduma ya kuunganishiwa umeme tangia mwanzoni mwa december 2021 lakin mpaka leo sijapata iyo huduma yaan ni takriban miezi 5 sasa
Tusaidie mamaaa, sema neno tu na roho zetu zitatuliaaaa, ukitoka ughaibuni walau utoe kauli mamaaa
Sasa huo mbona ni utaratibu wa miaka yote ?!!kwani wanapokuwekea mita , huwa wanakukopesha units, zitakapoisha lazima uende ofisini kwao, ukanunulie hapo ili wakate deni lao na kuifungua mita hiyo, au wewe ni mgeni na hilo?Wanawapiga danadana kwasababu wale ambao wameunganishiwa kwa bei hiyo sasa hivi wanakiona cha moto kwenye ununuzi wa luku kuna mmoja amenunua umeme wa 1000 umekataa amewapigia simu mpaka ameenda ofisini kwao wamemwambia aweke 13000 ndio atapata umeme wa 1000 , kwamaana kuna compasation hapo inafanyika kufidia bei mpya ..... mama anaupiga mwingi yereeeewiii.
Tafadhali onesha umelipia lini? Wilaya na namba ya simu uliyoandika kwenye fomu yako kwa hatua zaidiKwanza Mhe.Rais Pole na.majukumu, kwa masikitiko makubwa naomba niwasilishe kilio changu kwa niaba ya Wahanga wenzangu tuliokutwa na janga hili..
Asilimia kubwa ya wateja tulio lipia kuunganishiwa umeme kwa ile bei ya awali 27 K wengi hatujapata huduma hii ya umeme, tukifuatlia ktk ofisi za tanesco , danadana zinakuwa nyingi mara nguzo hamna, mara tuna wawekea wateja walio omba mwezi wa 8 yaan sababu ni nyingi na hamna mashiko
Pia tukumbuke Serikali yako.ilitoa tamko kuielekeza tanesco mpaka kufikia March 30 ,2022 wale wateja wote waliolipia 27 K wawe wameunganishiwa umeme lakini utekwlezaji wa maelekezo haya ni HOLAAA
Binafsi niliomba na kulipia huduma ya kuunganishiwa umeme tangia mwanzoni mwa december 2021 lakin mpaka leo sijapata iyo huduma yaan ni takriban miezi 5 sasa
Tusaidie mamaaa, sema neno tu na roho zetu zitatuliaaaa, ukitoka ughaibuni walau utoe kauli mamaaa
Nyie hamna hatua yoyote mnayo chukua zaid zaid ya isumbufu tuTafadhali onesha umelipia lini? Wilaya na namba ya simu uliyoandika kwenye fomu yako kwa hatua zaidi