KERO Wateja wa bima ya afya I C H F kukosa huduma kituo cha Zamzam na Rwamishenye Bukoba MC

KERO Wateja wa bima ya afya I C H F kukosa huduma kituo cha Zamzam na Rwamishenye Bukoba MC

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mpaka Sasa hamna MAJIBU yoyote kutoka kwa wasimamizi wa bima hizo kuhusu sababu za kusitisha huduma hiyo kwa wateja.

bima afya.png
 
Attachments

  • ichf_1.jpg
    ichf_1.jpg
    91.7 KB · Views: 1
Back
Top Bottom