kuna viwanda vingapi vya chumvi Tanzania?Dar es salaam viko vingapi?kwanini usiwe mmoja wapo wa kuzalisha processed salt?na ukauza sehemu mbalimbali?pakti ya chumvi kwa sasa 0.5kg ni sh 300 kama sikosei na wewe una tani mbili ambazo ni 2000kg sio?

Kweli sijui idadi ya viwanda,but ni aidia nzuri nitaifanyia kazi ila by the time being nahitaji kuuza unprocessed kwanza,....nitafika tu huko but taratibu ndo mwendo.