Wateja wa EFD machines za TRA-Sales executive....contact mi please-nipatieni ajira tafadhari.

Wateja wa EFD machines za TRA-Sales executive....contact mi please-nipatieni ajira tafadhari.

Ibrahim K. Chiki

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
594
Reaction score
163
Kutokana na ugumu wa kupata ajira niliamua kutochagua kazi, nikapata kibarua kama sales executive wa Electronic fiscal devices ( EFD machines) za kodi za TRA. Nimefanya kazi hii kwa muda wa wiki mbili ivi, tatizo kubwa ninalokutana nalo ni uhaba wa wateja, na nadhani hii inasababishwa na uzoefu mdogo nilionao. so kwa wale woote ambao kampuni zao ziko registered na VAT na hawana EFD machine TO contact mi thru 0756517588, 0782517588, or 0652590519. thanx in advans.
 
Back
Top Bottom