Ibrahim K. Chiki
JF-Expert Member
- Apr 5, 2011
- 594
- 163
Kutokana na ugumu wa upatikanaji wa ajira niliamua kutochagua kazi, nikapata kibarua kama sales executive wa Electroni fiscal devices ( EFD machines ) za kodi za TRA. nimefanya kazi hii kwa muda wa wiki mbili ivi na tatizo kubwa ninalokutana nalo ni uhaba wa wateja na nadhani inasababishwa na uzoefu mdogo nilionao, nikaamua kubuni njia nyingine ya kutafuta wateja. so kwa wale woote ambao kampuni zao ziko registered chini ya VAT na hawana EFD machine to contact mi thru my no. 0756517588, 0782517588 Or 0652590519. thanx in advans.