Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()
Jamani mbavu zangu, anyway thank you (senk you vereee machi in Bi Mkora's voice) for making me start my day with a laugh. A lab tasting blood and pregnancy must be owned by vampires or have affiliations to mungiki if they taste stool and urine as well.
Ni haki kabisa waandike hivyo, hata Ras Simba katika matangazo yake anaonyesha kuwa anafundisha Kiingereza cha kuongea sio kuandika. watu wengi wanaweza kuongea lugha kikiwemo Kiswahili na lugha zao za mama lakini hawawezi kuziandika.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
[emoji2] [emoji23] [emoji23] ..
Nisaidieni kumpatia Rasi Wateja wengine humu humu JF.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
[emoji2] [emoji23] [emoji23] ..
Nisaidieni kumpatia Rasi Wateja wengine humu humu JF.
Hili kosa linajirudia sehemu nyingi hata ambazo huwezi kuzidhania. Unakuta mtu anakuandikia text "your" welcome akimaanisha you are welcome (the correct phrase).I have seen many spelling errors even where it shouldn't.I visited one English Medium School and read this at the Administration block entrance: "YOUR" WELCOME TO .....
Food ?Mh hiyo ya wapi?![]()
Huyu atakuwa mhindi
hiii kaka nimecheka mpaka keroooooo![]()
Huyu atakuwa mhindi
Sawa kabisa mkuu kuandika ni shida sijui inakuajeNi haki kabisa waandike hivyo, hata Ras Simba katika matangazo yake anaonyesha kuwa anafundisha Kiingereza cha kuongea sio kuandika. watu wengi wanaweza kuongea lugha kikiwemo Kiswahili na lugha zao za mama lakini hawawezi kuziandika.