Wateja wa Ras Simba; yule mwalimu wa English language

kweli kilikuja na mashua,
Ras simba anasema wiki mbili tu unatema yai ka Obama
 
Huyo jamaa wa heavy erection kanichekesha sana
 
I have seen many spelling errors even where it shouldn't.I visited one English Medium School and read this at the Administration block entrance: "YOUR" WELCOME TO .....
 
Jamani mbavu zangu, anyway thank you (senk you vereee machi in Bi Mkora's voice) for making me start my day with a laugh. A lab tasting blood and pregnancy must be owned by vampires or have affiliations to mungiki if they taste stool and urine as well.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji2] [emoji23] [emoji23] ..

Nisaidieni kumpatia Rasi Wateja wengine humu humu JF.
Ni haki kabisa waandike hivyo, hata Ras Simba katika matangazo yake anaonyesha kuwa anafundisha Kiingereza cha kuongea sio kuandika. watu wengi wanaweza kuongea lugha kikiwemo Kiswahili na lugha zao za mama lakini hawawezi kuziandika.
 
I have seen many spelling errors even where it shouldn't.I visited one English Medium School and read this at the Administration block entrance: "YOUR" WELCOME TO .....
Hili kosa linajirudia sehemu nyingi hata ambazo huwezi kuzidhania. Unakuta mtu anakuandikia text "your" welcome akimaanisha you are welcome (the correct phrase).
 
Ni haki kabisa waandike hivyo, hata Ras Simba katika matangazo yake anaonyesha kuwa anafundisha Kiingereza cha kuongea sio kuandika. watu wengi wanaweza kuongea lugha kikiwemo Kiswahili na lugha zao za mama lakini hawawezi kuziandika.
Sawa kabisa mkuu kuandika ni shida sijui inakuaje
 
Wametumia kanuni za kujifunzia kwny mambo ya msingi...
 
... sometimes typos are not that a big deal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…