cuthbert sezari
Member
- Sep 5, 2014
- 45
- 37
Jamani kuna watu wanapiga simu wanaweka order za vifaranga mtu unatumia garama mwisho ukifika anazima simu naomba km huitaji kitu pita wenzenu hapa ndio tunapatia chakula na kulipa Kofi.
Pia niwashukuru wale wanaotuamini na kututumia vizuri na hutegemea mavuno mazuri kwetu Mungu awabariki sana pia kwa wateja wapya wataalamu tupo hatuna kazi tushirikiane kwapamoja.
Kwa maoni na ushauri 0769752665/0786688200 sezari zote sinapatikana WhatsApp
Sezarialfred@gmail.com
Sent using Jamii Forums mobile app