Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Wanaoteka wana shida na pesa kwa sababu hata wao wanamahitaji. Ninachokiona sasa ni kuwepo uwezekano wa wahuni wachache kuanza kukamata wafanyabiashara na RAIA wa kigeni kisha kuwalazimisha wawape fedha.
Mifumo ya uhalifu duniani imejengwa kwenye uporaji wa mali na fedha. Mtu ambaye anaweza akaua maskini apewe ajira au ujira mdogo ipo siku atatamani atembelee gari, ahonge au apeleke watoto wake shule nzuri.
Tusipotafakari nje ya siasa tunaweza tukadhani mauaji yanafanyika kwa wanasiasa. Yawezekana wapo matajiri wanaishi kwa kuonga wasidhulumiwe haki yao ya kuishi. Yawezekana hawa wauaji wanashinikiza baadhi ya wageni na makampuni yao yatoe fedha kwamba wametumwa.
Pleas, mnapowatafuta hawa wahuni wanaochafua nchi msifumbie macho kuanza na wanaokwapua fedha kwa matajiri mchana kweupe. Hao ndio ugeuka magenge ya kihalifu na kuishi kwa damu na dhulma za watu.
Soma Pia:
Matajiri mkiona kuna muhuni anataka kukwapua chochote mfichueni la sivyo siku akirudi kukwapua akakosa ataondoka na uhai wako.
Binadamu ni mnyama

- Zitto Kabwe: Haikubaliki , Haivumiliki na Haitakubalika Watu kuendelea Kupotea/Kutekwa na Kuuawa!
- Ally Hapi akemea tabia watu kuuwana, kutekwa na kupotea katika mazingira yanayoibua sintofahamu