WATENDAJI MANISPAA YA MOROGORO HAKIKA HAMUELEWEKI

WATENDAJI MANISPAA YA MOROGORO HAKIKA HAMUELEWEKI

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Posts
3,433
Reaction score
8,585
Kusema kweli Mkurugenzi, Meya na Madiwani mliopo Manispaa ya Morogoro Hamueleweki, Sijui huwa mnafikiria kwa kutumia vichwa gani? Hivi kweli Daladala Zote zinazotoka Pembezoni ya Mji kuja kati ya mji zinakosa sehemu Rasmi ya Kupakia Abiria?
Mwanzoni walikuwa wakitumia Stand ya Zamani Mkawaondoa mkafamya Parking, Kimbilio likawa eneo la Masika na sasa mmewaondoa ili hali TeTesi zkisemakana mmechukua pesa kutoka kwa BM aliyejenga Ghorofa lake bila parking ili afanye Parking hapo, hibi kweli Mmeondoa Maslahi mapana ya wanachi wwngi kwa sababu ya mtu mmoja? Katikati ya mji kote hakuna sehemu rasmi.ya kuapanda daladala? Kisha mnajidanganya patakuwa jiji?

Mwanzoni niliwashangaa kipindi chote cha Ujenzi wa SGR mmeshindwa kujenga Stand karibu nakituo cha treni ya mwwndo kasi kumbe ni tabia zenu kutokujali
 

Attachments

  • IMG_20250125_184830.jpg
    IMG_20250125_184830.jpg
    785.7 KB · Views: 4
Morogoro ni mji unaohitaji mabadiliko ya haraka! Shida viongozi wake hawataki kubadilika!
 
Back
Top Bottom