DOKEZO Watendaji ofisi za Postgraduate Chuo Kikuu Sokoine ni changamoto, wanachangia wanafunzi kutomaliza kwa wakati

DOKEZO Watendaji ofisi za Postgraduate Chuo Kikuu Sokoine ni changamoto, wanachangia wanafunzi kutomaliza kwa wakati

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Ofisi za postgraduate SUA ni changamoto kubwa sana kwa wanachuo yaani kama sio mazingira ya rushwa basi kuna changamoto kubwa kwenye usimamizi wao.

Nadhani wanachangia kwa sehemu kubwa wanafunzi kutokumaliza kwa wakati.

Unaweza kupeleka document lakini kuja kupata majibu ni kazi kubwa sana. Lakini pia customer care yao ni zero, hata namba za simu sijui wanaweka kwa ajili ya kazi gani kwenye hizo ofisi hazipokelewi hii Sasa ni changamoto.
 
Back
Top Bottom