Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Ni kiherehere na hii inalazimishwa , na sheria ziko wazi, mtumishi wa umma marufuku kujihusisha na siasaMrisho Gambo ameongoza maandamano ya madiwani, wenyeviti wa mitaa na watendaji wa kata.
Kwa ufahamu wangu watendaji wa kata ni watumishi waajiriwa wa serikali kama walivyo waalimu sambamba. Je, ni sahihi wao kama watumishi wa umma kuvaa nguo za chama na kuandamana?
Lakini maandamano si walisema pia kwamba yanakwamisha maendeleo? CHADEMA wametembea na kijiji CCM umeona sasa mziki wa Mbowe na Lisu unazoa watu wameamua kuabdamisha viongozi, kwanini wasifanye maandamano ya wananchi?
Na Wana Makatibu wa CCM ngazi ya Kata.CCM ni chama tawala 😄