Boniphace Kichonge JF-Expert Member Joined Jul 31, 2017 Posts 1,605 Reaction score 1,957 Feb 21, 2020 #1 Wadau. Watendaji Wakuu Wa CCM Ziarani Mikoani. Dkt Bashiru Ally ameanza Ziara ya Siku 3 Mtwara. Humphrey Polepole ameanza Ziara ya Siku tisa Kisiwani Pemba.
Wadau. Watendaji Wakuu Wa CCM Ziarani Mikoani. Dkt Bashiru Ally ameanza Ziara ya Siku 3 Mtwara. Humphrey Polepole ameanza Ziara ya Siku tisa Kisiwani Pemba.
The Mack JF-Expert Member Joined May 25, 2017 Posts 239 Reaction score 247 Feb 21, 2020 #2 Wameanza kutapatapa sasa Waambie watapata tabu sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent from my iPhone using JamiiForums
Wameanza kutapatapa sasa Waambie watapata tabu sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent from my iPhone using JamiiForums
Baba Ndumbwi JF-Expert Member Joined Jun 30, 2013 Posts 447 Reaction score 712 Feb 21, 2020 #3 Hivi kwann hawa wanapofanya ziara huwa hatusikii taarifa za kiintelijensia kuhusu uvunjifu wa amani au ccm ndio wanahusika kuvunja amani kwenye mikutano ya vyama vingine? Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwann hawa wanapofanya ziara huwa hatusikii taarifa za kiintelijensia kuhusu uvunjifu wa amani au ccm ndio wanahusika kuvunja amani kwenye mikutano ya vyama vingine? Sent using Jamii Forums mobile app