Watengeneza maudhui (content) hili limekaaje na athari yake ni nini kwa mlaji wa mwisho na brand husika

Watengeneza maudhui (content) hili limekaaje na athari yake ni nini kwa mlaji wa mwisho na brand husika

Brojust

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
349
Reaction score
1,024
Salaam.

Nimeliona hili muda mrefu ila sababu leo ni Dabi ya kariakoo nimeamua kuliongelea.

Nimeliona kwa baadhi ya wasanii, comedian, watangazaji na baadhi ya watu maarufu.

Utakuta mtu ana mkataba na Yanga, alafu pia ana mkataba na wasafi bet, sasa anavaa jezi ya Yanga alafu ana Blur mdhamini wa yanga ambae ni sportpesa

Kingine kibaya zaidi mtu anavaa jezi ya yanga au simba alafu anageuza mbele nyuma ili kuficha makampuni hayo.

Watu wa marketing na branding, wanasheria na watu wa FCC naona kuna kitu hapa hakijakaa sawa.

Naombeni maoni yenu kama mdau.

USHAHIDI! Ingia kwenye page za nasibu, angalia post za Leonardo comedian, anglia pia baadhi ya post za mwijaku.

Ahsanteni;

#YANGABINGWA
 
Watu na bills za kulipa sio kukufurahisha wewe
 
Back
Top Bottom