INAUZWA Watengenezaji na wauzaji wa mashine aina mbali mbali

Joined
Jan 29, 2022
Posts
30
Reaction score
9
Je unahitaji mashine kwa kufanya biashara ya kuzalisha unga safi na bora wa sembe au dona na kusambaza kwa wateja wako wasiliana na Joel machinery manufacturing kwa ushauri wa kitaalam zaid.

[emoji117]Mashine ya kukoboa,
Mashine type, roller tatu(3)
[emoji117]Mota; 30Hp 3 phase
[emoji117] Uwezo wa kukoboa;tani kumi (10) kwa siku
Bei;1.5 million bila mota ikiwa complete na mota yake ni 3million tu karibuni Sana

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…