Ester505 JF-Expert Member Joined Jul 14, 2020 Posts 793 Reaction score 1,049 Jul 15, 2023 #1 Heshima kwenu. Naomba kujua kuhusu mbao zinazotumika kutengenezea sofa. Je ni mbao ngumu au Kuna aina nyingine???
Heshima kwenu. Naomba kujua kuhusu mbao zinazotumika kutengenezea sofa. Je ni mbao ngumu au Kuna aina nyingine???
Elabry Member Joined Oct 25, 2015 Posts 42 Reaction score 15 Jul 15, 2023 #2 da gulo said: Heshima kwenu. Naomba kujua kuhusu mbao zinazotumika kutengenezea sofa. Je ni mbao ngumu au Kuna aina nyingine??? Click to expand... Ukihitaji fibre wanazoekaga kwenye mito ya sofa ili kuleta ulaini na mneso nichek
da gulo said: Heshima kwenu. Naomba kujua kuhusu mbao zinazotumika kutengenezea sofa. Je ni mbao ngumu au Kuna aina nyingine??? Click to expand... Ukihitaji fibre wanazoekaga kwenye mito ya sofa ili kuleta ulaini na mneso nichek
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 33,679 Reaction score 49,841 Jul 15, 2023 #3 Wengi wanatumia mbao laini ili kuepuka gharama