Shujaa Nduna
JF-Expert Member
- Sep 8, 2022
- 599
- 487
Zamani ilikuwa bia kubwa tu basi burudani, lakini sasa bia ndogo zimetapakaa lakini kitu ambacho sikipendi watu wa bar na grocery wanaweka kwa wingi bia ndogo kwa makusudi halafu bei sawa bia kubwa.
Sasa watu wa breweris kwanini mpo tu wakati wakati wateja tunakuta tusichokipenda kwa bei ghali?
Baadhi ya maeneo bia ndogo buku mia 7. Lakini sehemu nyingine buku 2.
Hitimisho langu bia zote ndogo Kilimanjaro, Safari na Serengeti ziuzwe chini ya 2000 ma kubwa iwe 2000.
Nimekasirika na nitaanzisha mgomo