Shujaa Nduna
JF-Expert Member
- Sep 8, 2022
- 599
- 487
wanazinguwa bhana nitaenda kule head qota nikawachane tunataka mitulingapa ipatikane ktk bei zote kwa bei elekezi,si vichupa vidogo kwa bei hali wanafanya kusudi.Kula bia acha kelele
USSR
Zamani ilikuwa bia kubwa tu basi burudani,lakini sasa bia ndogo zimetapakaa lakini kitu ambacho sikipendi watu wa bar na grocery wanaweka kwa wingi bia ndogo kwa makusudi halafu bei sawa bia kubwa.Sa watu wa breweris kwanini mpo tu wakati wakati wateja tunakuta tusichokipenda kwa bei ghali?Baadhi ya maeneo bia ndogo buku mia7.Lakini sehemu nyingh buku2.Hitimisho langu bia zote ndngo kilimanjaro,safari na serengeti ziuzwe chini ya 2000 ma kubwa iwe 2000.Nimekasirika na nitaanzisha mgomo
Ukutane na Safari Mkuu hadi zifike 5 ulimi upo nje kama kenge hiviBia kubwa hata haipendez kwa kwl
1500 kwa mangiSeringeti ndogo mara 1700, 1800, bei halali ni ipi?