Yusuph p. Kisunzu
Senior Member
- Dec 21, 2012
- 120
- 9
Ingiza kwenye google utapata kila ki2 mkuu
Kipo ubungo.. karibu na university of Dar es salaam. Pembeni ya geti kuu la kuingia udsm
Kinajitegemea chin ya wizara ya maji.Of course kipo kwenye mazingira mazuri.vp ndo tawi la UDSM au kinajitegemea?
Msaada kwa anayefahamu chuo tajwa hapo juu kiko wapi anisaidie.