Water pump generator ipi ni nzuri kutumika

ISACOM

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2009
Posts
546
Reaction score
413
Hivi water pump generators,,,brand name gani ni imara kwa shughuli za umwagiliaji?..ushauri unahitajika,,ikiwezekana ata bei nifahamishwe..Asanteni kwa wasaa wenu
 
Hata BOSS ni nzuri, kuhusu bei inategemea na ukubwa wa pump ambao hutegemea matumizi yako.
Mkuu plz naitaji Nch2 tu Kwa ajiri ya ku pump maji kutoa bwawani kuyaleta kwenye dimbwi nililo Jenga Ili kunipa urahisi wa kumwagilia.
Je inauzwa sh ngap huko ulipo?
Nisaidie
 
Hivi water pump generators,,,brand name gani ni imara kwa shughuli za umwagiliaji?..ushauri unahitajika,,ikiwezekana ata bei nifahamishwe..Asanteni kwa wasaa wenu
Nunua honda mjapan ndio nzuri hata spare unapata hizi nyingine za india na china ikiwa mpya ni nzuri changamoto inakuja ikishaanza kuchoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…