markbusega
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 826
- 848
Nina mpango wa kuanza kilimo cha mboga eneo ninalotegemea kuvuta maji ni mita 200 je nichukue pump ipi?
vigezo ninavyovitaka
1. Uwezo wa kumudu kuvuta na kusukuma maji umbali wa mita 200
2. Ulaji mzuri wa mafuta
3. Upatikanaji rahisi wa vipuri
4. Uwezo wa mafundi kumudu kuitengeneza ikiharibika.
5. Kudumu muda mrefu
6. Gharama nafuu
Naomba ushauri kwa wazoefu