markbusega
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 826
- 848
mawazo yenu tafadhali wakuu, karibuniNina mpango wa kuanza kilimo cha mboga eneo ninalotegemea kuvuta maji ni mita 200 je nichukue pump ipi?
vigezo ninavyovitaka
1. Uwezo wa kumudu kuvuta na kusukuma maji umbali wa mita 200
2. Ulaji mzuri wa mafuta
3. Upatikanaji rahisi wa vipuri
4. Uwezo wa mafundi kumudu kuitengeneza ikiharibika.
5. Kudumu muda mrefu
6. Gharama nafuu
Naomba ushauri kwa wazoefu
Utasaidiwa iwapo utaeleza ukubwa wa mradi.Nina mpango wa kuanza kilimo cha mboga eneo ninalotegemea kuvuta maji ni mita 200 je nichukue pump ipi?
vigezo ninavyovitaka
1. Uwezo wa kumudu kuvuta na kusukuma maji umbali wa mita 200
2. Ulaji mzuri wa mafuta
3. Upatikanaji rahisi wa vipuri
4. Uwezo wa mafundi kumudu kuitengeneza ikiharibika.
5. Kudumu muda mrefu
6. Gharama nafuu
Naomba ushauri kwa wazoefu
Nimeipenda hii, vipi kwa shamba la ukubwa wa heka 3.25 na kamuinuko kidogo kutoka mtoni mpaka juu kichwani pa shamba. Je pump ipi iko good?Utasaidiwa iwapo utaeleza ukubwa wa mradi.
Ekari moja, ekari 5- 10 au zaidi.
Kwa ekari mbili nunua king max au honda au boss inchi 3 itakutosha. Mpira mita 100 ni around 200000 hivyo mipira iwe miwili. Mashine mpya ni 350 000 hadi 400 000 na kolomeo mita 3 kama 60 000 kwa Mwanza.
Hapa maji yawe ya mtoni au bwawani/ ziwani. Kama maji ni ya kisima kirefu subiri wanakuja.
Usiondoke hapohapo hawachelewi wanamalizia tu kula.
asante mkuuUtasaidiwa iwapo utaeleza ukubwa wa mradi.
Ekari moja, ekari 5- 10 au zaidi.
Kwa ekari mbili nunua king max au honda au boss inchi 3 itakutosha. Mpira mita 100 ni around 200000 hivyo mipira iwe miwili. Mashine mpya ni 350 000 hadi 400 000 na kolomeo mita 3 kama 60 000 kwa Mwanza.
Hapa maji yawe ya mtoni au bwawani/ ziwani. Kama maji ni ya kisima kirefu subiri wanakuja.
Usiondoke hapohapo hawachelewi wanamalizia tu kula.
Nahitaji hii kitu. Unapatina mwanza mtaa ganiUtasaidiwa iwapo utaeleza ukubwa wa mradi.
Ekari moja, ekari 5- 10 au zaidi.
Kwa ekari mbili nunua king max au honda au boss inchi 3 itakutosha. Mpira mita 100 ni around 200000 hivyo mipira iwe miwili. Mashine mpya ni 350 000 hadi 400 000 na kolomeo mita 3 kama 60 000 kwa Mwanza.
Hapa maji yawe ya mtoni au bwawani/ ziwani. Kama maji ni ya kisima kirefu subiri wanakuja.
Usiondoke hapohapo hawachelewi wanamalizia tu kula.
Pump inchi 3 inatosha kama una muda wa kumwagilia. Pump hii inamwagilia ekari moja kwa saa 10 ( ita siku moja). Kama utafanya kazi na usiku inamwagilia ekari mbili.Nimeipenda hii, vipi kwa shamba la ukubwa wa heka 3.25 na kamuinuko kidogo kutoka mtoni mpaka juu kichwani pa shamba. Je pump ipi iko good?
Siko Mwanza. Nenda tu maduka yako mengi utanichagulia.Nahitaji hii kitu. Unapatina mwanza mtaa gani
Naomba data hiziNina mpango wa kuanza kilimo cha mboga eneo ninalotegemea kuvuta maji ni mita 200 je nichukue pump ipi?
vigezo ninavyovitaka
1. Uwezo wa kumudu kuvuta na kusukuma maji umbali wa mita 200
2. Ulaji mzuri wa mafuta
3. Upatikanaji rahisi wa vipuri
4. Uwezo wa mafundi kumudu kuitengeneza ikiharibika.
5. Kudumu muda mrefu
6. Gharama nafuu
Naomba ushauri kwa wazoefu
eka 10 nahitaji mashine ya aina gani?Pump inchi 3 inatosha kama una muda wa kumwagilia. Pump hii inamwagilia ekari moja kwa saa 10 ( ita siku moja). Kama utafanya kazi na usiku inamwagilia ekari mbili.
Angalizo: badili oili kila baada ya saa 40 za kazi vinginevyo utasema pump mbovu
Nunua mashine ya kusaga unga , tafuta fundi mzuri aibadilishe mfumo iwe ya maji itakusaidia.eka 10 nahitaji mashine ya aina gani?