babaMike Member Joined Dec 19, 2022 Posts 30 Reaction score 29 Feb 24, 2024 #1 Habarini wana jamvi, kama kichwa Cha Uzi kinavyosomeka, napenda kujua ni water pump nchi ngapi inayoweza kupeleka maji mitaa 400 au zaidi kwenye eneo lenye mwinuko wa wastani?. Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Habarini wana jamvi, kama kichwa Cha Uzi kinavyosomeka, napenda kujua ni water pump nchi ngapi inayoweza kupeleka maji mitaa 400 au zaidi kwenye eneo lenye mwinuko wa wastani?. Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Feb 24, 2024 #2 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: Mahondaw