Quality_First
Member
- Jun 12, 2021
- 32
- 15
Bro......Used Water tank stand ya chuma yenye urefu wa 6 metres inauzwa. Iko katika very good condition. Ina uwezo wa kuhimili tank la ujazo wa hadi Lita 10,000. Bei ni 3m. Kwa mwenye uhitaji awasiliane nami kupitia namba 0687320462.
View attachment 1960501
View attachment 1960502
Sorry. Nilikusudia 1.3m.Bro......
Unasema 3m au unakusudia nn hapa....?!
mohamedidrisa789 Asante kwa maoni ๐๐พ....Kila la kheri mkuu kujenga jukwaa la zege la urefu wa mita 6 kwa 1.5m.Brother kwa iyo ela nikiongeza laki 2 nashusha ngoma ya zege za maana tu ya mkataba.hii michuma na maji ni vitu vi 2 tofauti kabisa.unaweza ukapata kesi ya mauwaji bure lita 10,000 likamshukia mtu
Sent using Jamii Forums mobile app