Kimey
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 4,117
- 833
Wakuu heshima mbele!!
Katika mazungumzo ya hapa na pale kuna jamaa yangu mmoja aliniambia water therapy ni njia nzuri sana ya kumaliza magonjwa mengi mwilini..Aliniambia kua kila asubuhi kabla hujala chochote kunywa maji glass sita. hii inasaidia sana kuondoa matatizo mojawapo likiwa la kisukari, n.k! Wanajamvini nauliza kama hii habari ni ya kweli! wenye utaalamu wanijuvye!