Water Therapy!

Kimey

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2009
Posts
4,117
Reaction score
833
Wakuu heshima mbele!!
Katika mazungumzo ya hapa na pale kuna jamaa yangu mmoja aliniambia water therapy ni njia nzuri sana ya kumaliza magonjwa mengi mwilini..Aliniambia kua kila asubuhi kabla hujala chochote kunywa maji glass sita. hii inasaidia sana kuondoa matatizo mojawapo likiwa la kisukari, n.k! Wanajamvini nauliza kama hii habari ni ya kweli! wenye utaalamu wanijuvye!
 
Ni kweli,lakini itakuwa vema ukijifanyia praktikal mwenyewe.
Ndo nimeanza ivyo ndo maana naomba ushauri sio kila siku unagugumia tu maji asubuhi then hakuna kitakachotokea glass sita sio mchezo!
 
It works, I have tried it myself.
The only side effect is going to easy yourself often.
But also you have to be aware of "water dilution"
This happens when you take too much water and you loose alot of important body minerals.
 
hapa sasa ndio unaona kila kitu kina faida na hasara zake!.
lakini kwa sie wazee wa MUBIA hii tiba ni nzuri haswa, kwani itasafisha kibofu vizuri na figo kufanya kazi sawia si unajua tena biere zinazingua sometimes kama sumu vile!.
 
It works, I have tried it myself.
The only side effect is going to easy yourself often.
But also you have to be aware of "water dilution"
This happens when you take too much water and you loose alot of important body minerals.

How much is too much.Namaanisha mwisho kunywa lita ngapi kwa siku.
 
Kwa wapenda WATER THERAPY kuna references nyingi sana huu ya hii subject online nafikiri si mbaya kuzipitia.Ila nasikia inafanya kazi kweli....hata kama unataka kufanyia kazi uzito wa mwili.

Halafu kuna hii nyingine URINE THERAPY.....JF Doctor ebu naona unihabarishe juu ya hii tafadhali.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…