Kama walitaka kukutana na timu mbovu wangekomaa wavuke raundi ya awali, Sasa raundi ya mwanzo imekushinda, Unabeza mafanikio ya mwenzio, hii ni ajabu, roho mbaya isiyo na maana, halafu binafsi naona kama wanateseka bure, maana hawa hawashindani na mtu bali timu yao, utasikia Ooh watafungwa, Ooh timu hakuna pale, Ongeleeni yanayohusu timu yenu, Inafahamika ndoto ya timu ndogo za Tanzania ni Kumfunga Mnyama, Kwa staili hii mtabaki na Mwiko Wenu, lete povu sasa.