Wateule wa Hayati Magufuli hawamfai kamwe Rais Samia Suluhu, hawakuwa na huruma wala utu

Kuna teule mama alizifanya kijanja anajua hao watu wataboronga halafu atawatema bila kupata lawama

Imagine anytime soon mama amtoe pale Mwigulu hizo sifa atakazo miminiwa na wanyonge,hata hao wanaohangaika na katiba mpya watatafuta kwanza kichaka cha kujificha kwa mda maana wanyonge hawatawaelewa..baada ya Mwigulu kutumbuliwa.
 
sahihi kabiaa usemacho
 
Yaan sas hivi mnajaribu kuaminisha kwamba Rais hausiki kwa haya yanayoendelea ,akili za kinyumbu nyumbu kabisa hizi! Rais si ndo mwenye maamuzi ya mwisho? ,kajaliwa upeo na maarifa ya kung'amua mambo ! Msitake kumkwepesha lawama ,kuonekana yeye hausiki!,Jpm ameshakufa ,sasa serikali ipo mikononi mwake! Akiboronga tutamkosoa tu!
 
Huna akili kabisa.

Samia ni mteule wa nani?
 
Sasa Samia kaboronga wapi wakati Kanuni za tozo zilisainiwa na Waziri husika!
 
Ni kweli kabisa hili!
 
Hilo la kusema
Uzuri ni kuwa hakubaguliwa hata mmoja,na hata wengine waliamua kujiandalia mazingira ya kuondoka,ila mitazamo yao na matendo yao wanayafahamu wenyewe, wanataka nini, Mimi bado sifahamu, watuambie wenyewe.
Uzuri ni kuwa hakubaguliwa hata mmoja,na hata wengine waliamua kujiandalia mazingira ya kuondoka,ila mitazamo yao na matendo yao wanayafahamu wenyewe, wanataka nini, Mimi bado sifahamu, watuambie wenyewe.
Hilo la kusema wenyewe sahau!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…