Wateule wa Rais katika idara na Wizara wanatuhumiwa kutumia siku 14 kila mwezi kuzunguka mikoani

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Nimefanikiwa kuwadodosa baaadhi ya wazee wenye nyadhfa serikalini kuhusu mkanganyiko wa mambo unaoendelea nimeshtushwa kwamba hata wao wanayojadili na kuyaamini si haya yanayotekea kwenye utendaji.

Nafasi ya wanasiasa Ni kubwa Sasa kwa Sasa hasa baada ya kutoa wataalam na wabobezi wengi kwenye wizara na idara za serikali. Prof. Mmoja anadai miaka yake yote hajawahi kufanya kazi za kuelekezwa chakufanya Bali ameishi akifanya anachoamini ni sahihi na hii I'm Sana kitaaluma na kiutendaji. Alipoteuliwa kwenda serikalini aliamini amepata nafasi yakwenda kufanya vizuri zaidi lakini alikuta mazingira yapo tofauti.

Kwanza serikalini mwenye kujua ni bosi, mwenye kuelekeza ni bosi na ukipingana naye hasa kwa wao wasomi unasikia unaambiwa " kwa hiyo umeletwa kunikwamisha ili wewe upandishwe au uteuliwe kwenye nafasi yangu ehe? Utaondoka kabla ujafanikisha lengo lako". Ukiambiwa maneno ya aina hii hata Kama ulikuwa na morali ya kazi lazima uamue kukaa kimya. Amekutana na kauli hizi mara kadhaa na kila zinazotolewa lazima ahamishwe yeye na wasiadizi wake.

Lakini pia anaeleza kwamba, wateule wengi hawana muda wakufanya kazi aliyokabidhiwa kufanya, muda wote Mawaziri, manaibu na Makatibu wakuu wanawaza kudhurura maana Awana uwakika watakaa mida gani kabla ajatumbuliwa. Kusafiri huku kumwezifanya wizara nyingi kukosa coodination kwa sababu wato dira na maono ambao ndio watekelwzaji wa sera awapatikani kwenye vikao vingi.Ameshtushwa kwamba vikao vyote visivyo na maslahi uwezi kumiuta senior officer, lakini vikao vyote vyenye hoja nyeti uwezi mkuta senior officer utakuta junior officers na hivyo kuwa vigumu kuamia anachokiamini bosi.

Anatoa rai kwa Mhe. Rais ajaribu kuwasimamia watendaji waandamizi, apate taarifa za safari za wateule wake nchi nzima atagundua kila OC ikitoka hakuna mkubwa anayekaa kituoni atarudi baada ya 14 dys hivyo zaidi ya nusu ya muda wa kazi kwa mwez utumika kwenye safari mikoani.

Hii Hali imefanya idara na Wizara kukosa consistent ya issue kila mmoja anazungumzia mawazo binafsi si msimamo wa serikali
 
Sioni tatizo kama hizo siku 14 kila mwezi zipo kwenye activities zao na wanachokisimamia kinaonekana
 
mimi sioni tatizo kwa wateule kuzunguka ndani ya nchi katika kutekeleza majukumu yao kwani wangekaa ofisin tu tungedai hawawajibiki wanapigwa viyoyozi tu " sometimes watz ni kama hatujui tunataka nini"
 
Viongozi msikae maofisini, nataka niwaone mkizunguka sehemu mbalimbali kutatua kero za wananchi. Alisikika Rais Samia akitoa wito.
 
Nimefanikiwa kuwadodosa baaadhi ya wazee wenye nyadhfa serikalini kuhusu mkanganyiko wa mambo unaoendelea nimeshtushwa kwamba hata wao wanayojadili na kuyaamini si haya yanayotekea kwenye utendaji.

Nafasi ya wanasiasa Ni kubwa Sasa kwa Sasa hasa baada ya kutoa wataalam na wabobezi wengi kwenye wizara na idara za serikali. Prof. Mmoja anadai miaka yake yote hajawahi kufanya kazi za kuelekezwa chakufanya Bali ameishi akifanya anachoamini ni sahihi na hii I'm Sana kitaaluma na kiutendaji. Alipoteuliwa kwenda serikalini aliamini amepata nafasi yakwenda kufanya vizuri zaidi lakini alikuta mazingira yapo tofauti.

Kwanza serikalini mwenye kujua ni bosi, mwenye kuelekeza ni bosi na ukipingana naye hasa kwa wao wasomi unasikia unaambiwa " kwa hiyo umeletwa kunikwamisha ili wewe upandishwe au uteuliwe kwenye nafasi yangu ehe? Utaondoka kabla ujafanikisha lengo lako". Ukiambiwa maneno ya aina hii hata Kama ulikuwa na morali ya kazi lazima uamue kukaa kimya. Amekutana na kauli hizi mara kadhaa na kila zinazotolewa lazima ahamishwe yeye na wasiadizi wake.

Lakini pia anaeleza kwamba, wateule wengi hawana muda wakufanya kazi aliyokabidhiwa kufanya, muda wote Mawaziri, manaibu na Makatibu wakuu wanawaza kudhurura maana Awana uwakika watakaa mida gani kabla ajatumbuliwa. Kusafiri huku kumwezifanya wizara nyingi kukosa coodination kwa sababu wato dira na maono ambao ndio watekelwzaji wa sera awapatikani kwenye vikao vingi.Ameshtushwa kwamba vikao vyote visivyo na maslahi uwezi kumiuta senior officer, lakini vikao vyote vyenye hoja nyeti uwezi mkuta senior officer utakuta junior officers na hivyo kuwa vigumu kuamia anachokiamini bosi.

Anatoa rai kwa Mhe. Rais ajaribu kuwasimamia watendaji waandamizi, apate taarifa za safari za wateule wake nchi nzima atagundua kila OC ikitoka hakuna mkubwa anayekaa kituoni atarudi baada ya 14 dys hivyo zaidi ya nusu ya muda wa kazi kwa mwez utumika kwenye safari mikoani.

Hii Hali imefanya idara na Wizara kukosa consistent ya issue kila mmoja anazungumzia mawazo binafsi si msimamo wa serikali
Kwa uandishi huu, FaizaFoxy angekuwepo ungekiona cha mtema kuni.
 
Zuluma ya nchi Hii ni kubwa sana! Ni kuwashtaki tu kwa Mungu
 
Kama afisa utumishi wa songwe lile bomu kabisa yeye ni miezi yote hayupo ofisini, yaaaani wafanyakzi wapya wanaporipoti mshahara zaidi ya miezi sita ndio mfanyakazi anaupata kutokana uzembe wake
 
Watendaji wapo sahihi ni vyema 2/3 itumike nje ya ofisi na 1/3 paper work HQ.Shida yetu kubwa tuna mipango mizuri utekelezaji na usimamizi mtihani.Kwa msaada tehama wanaweza kufanya baadhi majukumu mengi ofisini wakiwa field.
 
Back
Top Bottom