benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,533
- 3,187
Wabunge na Watumishi wa Bunge waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa wameiomba serikali kuweka utaratibu wa viongozi wanaoteuliwa kupewa mafunzo ili kuwajengea moyo wa uzalendo, utii, uhodari na wepesi katika maamuzi kwenye nafasi zao.
Wabunge 21 na watumishi wa Bunge 18 wamepata na kuhitimu Mafunzo kwa Mujibu wa Sheria, (Operesheni Venance Mabeyo Kundi maalumu la Wabunge na Watumishi) wameiomba Serikali kuweka utaratibu wa viongozi wa kuteuliwa wakiwemo wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa Halmashauri kupitia katika mafunzo hayo.
Binafsi nadhani huu ni utaratibu bora kama utaridhiwa na utawanyoosha hawa wateule kurudi katika mstari wa uadilifu kwa kiasi fulani.